msaada jamani,
hivi karibuni nimekuwa nikipata maumivu makali ktk mguu wa kulia nyuma ya goti, kuna msuri nikikunja mguu basi ni taabu kuinuka , unakuta huo msuri unakaza(haunyooki) kiasi huwezi kunyoosha mguu, nimekwenda hospitali dawa nimetumia lkn tatizo liko palepale. wenye kufahamu tiba naomba anijuze. tafadhali.