Sharp lady
Senior Member
- Feb 23, 2011
- 129
- 13
asante sn kwa ushauri.kamuone dr...
Angalizo usitegemee kama maumivu hayo yataisha ghafla. Itakugharimu muda mrefu au mfupi wa matumizi ya antibiotics,antipains na dawa za nerves kama neurobion... Lakini usikate tamaa yataisha tu,tena ghafla bila kutarajia !
asante sn kwa ushauri.
uliyetoa hii post hujielewi, rudia ulichoandika. hayataisha ghafla, yataisha ghafla ndio nini. yote unatamka ww je tuelewe lipi?kamuone dr...