Dawa Za Antibiotics Na Kunywa Maziwa

DOGofGOD

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,341
Reaction score
480
Nimekunywa Dawa Za Antibiotics Za Minyoo Na Tumbo Aina Ya "Secnidazole Tablets".Nimekunywa Jana Asubuhi Muda Wa Saa Nne(4) Asubuhi.Kwa Dozi Ya "2*1".

Je Ni Mda Gani Dawa Hii Itaendelea Kufanya Kazi Mwilini.Na Ni Mda Gani Naweza Kuruhusiwa Kuanza Kunywa Maziwa.Ili Nisipunguze Nguvu Ya Dawa Mwilini.?

Napenda Sana Kunywa Maziwa.Lakini Nafahamu Maziwa Yana Tendency Ya Kupunguza Nguvu Ya Dawa.Mpaka Sasa Yameshapita Takribani Masaa Thelathini Na Mbili(32).Naweza Kunywa Maziwa Bila Madhara Yeyote?.Masaada Tafadhari.
 

Mi sio dk ila ikipitaga zaidi ya masaa 2 nagonga maziwa na sionagi tatizo.
 
Kwa uzoefu wangu antibiotics nazopewa zinaandikwa no diary 2 hours before and after....kwahiyo saivi unaweza kunywaaa maziwa
 
nimekunywa dawa za Minyoo Saa 12 asubuhi nikanywa maziwa saa 4 vp zinamadhara wadau Jf doctor?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…