Dawa za antibiotics zinanizuru

Dawa za antibiotics zinanizuru

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari wakuu nimekuwa nikititimia dawa za antibiotics takribani miaka miwili sasa lakin hivi karibuni naona zinaniletea madhara nataka kuacha kutumia kwan naona hari si shwari. Hivi karibuni nimekuwa nikihisi ladha tofaut mdomoni mwangu kama ladha ya chuma hivi na pia midomo yangu imepauka na ngozi pia nakojoa mkojo wa njano sana nyakati za asubuh nimekuwa nikitumia dawa hizi kutibu fungus sugu wasioisha pia na typhoid inayojirudia mara kwa mara nimekuwa nikiandikiwa hizi dawa naombeni ushauri wakuu nifanye kwani sasa niko kwenye dozi hizi ntaendelea nazo lakini naona mabadiriko kwenye afya yang kama kusikia ladha ya chuma na chumvi pamoja na kukojoa mkojo wanjano unaoelekea kijani kwa mbali. Dawa zenyewe ni fluconazole, NatB, Clavam Nk
 
Pole sana...
 
Hapo kwa Typhoid ungejaribu Dawa za asili mkuu
Sio rahisi kuimaliza kabisa na Hizo Antibiotics alafu labda hao wadudu wameshatengeneza resistance ndo kawaida ya kutumia Antibiotics mara kwa mara ..
Kuhusu kuendelea nazo nadhani ungefika hospital kupata ushauri zaidi
Pole sana
 
mkuu jaribu kugoogle hizo dawa utaelewa kwa nini. Next time tumia mda kidogo kusearch kwenye net utapata majibu mazuri sana
 
Si typhoid pekee mkuu kwan nina shida nyingine kama ulimi kuwa na ramani pia muwasho sehemu za siri kwa kipindi kirefu mno je dawa hizo zipi za asili naweza tumia kabla sijaaribu maini
 
mkuu jaribu kugoogle hizo dawa utaelewa kwa nini. Next time tumia mda kidogo kusearch kwenye net utapata majibu mazuri sana
Nimegoogle mkuu kwan pia zina madhara kama ambayo nimeorodhesha hapo juu zinaweza kuua Figo na ini pia kubadirika rangi ya mkojo
 
Back
Top Bottom