Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,066
- 1,194
Habari wakuu nimekuwa nikititimia dawa za antibiotics takribani miaka miwili sasa lakin hivi karibuni naona zinaniletea madhara nataka kuacha kutumia kwan naona hari si shwari. Hivi karibuni nimekuwa nikihisi ladha tofaut mdomoni mwangu kama ladha ya chuma hivi na pia midomo yangu imepauka na ngozi pia nakojoa mkojo wa njano sana nyakati za asubuh nimekuwa nikitumia dawa hizi kutibu fungus sugu wasioisha pia na typhoid inayojirudia mara kwa mara nimekuwa nikiandikiwa hizi dawa naombeni ushauri wakuu nifanye kwani sasa niko kwenye dozi hizi ntaendelea nazo lakini naona mabadiriko kwenye afya yang kama kusikia ladha ya chuma na chumvi pamoja na kukojoa mkojo wanjano unaoelekea kijani kwa mbali. Dawa zenyewe ni fluconazole, NatB, Clavam Nk