Dawa za asili za kuongeza mbegu za kiume

Mayai ya Kware ni dawa ya vitu vingi pamoja na hilo pia. Nitafute ukiyahitaji 0713 226701

Huwa naona matangazo mengi ya mayai ya kware humu, nilikuwa sijui kazi yake! Nashukuru kwa taarifa hii.
 
habari!!!!!!!!

naomba nitoe mchango wangu kuhusu hili
mwanaume anatakiwa ku produce sperm mil 50-160 ili aweze kuzalisha mwanamke sasa mwanaume kama hawezi ku produce hizo sperm kwa kiwango hicho awez kuzalisha pia kuna matatizo meng tu kama vile mwanaume anaweza akawa anaproduce sperm nyng zikawa znakufa pia akawa ana zalisha abnormal sperm kma sperm kuwa na vichwa viwil au mkia mfup au mikia miwil pia mwanaume anaweza.akawa hawez ku produce semen ambayo husaidia katika kusafirsha sperm kwenda kuktana na yai la kike sasa kma hawez produce hyo inawezkana akawa na tatizo la prostate gland

kwa ufanuz piga au whatsaap 0765650028
 
Habarini wakuu!
Njia gan naweza kuzitumia kuongeza kiasi cha sperm?,nini kina sababisha sperm kutoka kwa kiasi kidogo?na je kuna madhara yoyote yanayo weza kujitokeza kutokana na hari hii?.
Natanguliza shukurani.

Acha kuangalia video za matusi.
Najua huko ndo ulipojipimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…