Dawa za CARBAMAZEPINE

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,036
Reaction score
737
Habari za leo,naomba kujua faida na madhara ya dawa hizi CARBAMAZEPINE make kuna ndugu yangu amepewa akinywa anakuwa kama mja mzito kusinzia,amepewa hizo pamoja na zingine zinaitwa VALPARIN CHRONO 500 pamoja na FOLIC ACID,lkn naona kama anaharibikiwa maishani na je hakuna dawa mbadala?asanteni
 
Hizo ni athari za awali ya hizo dawa,akitumia baada ya siku 14 zitaanza kumzoea. hIZO NI DAWA ZA KIFAFA AT LAST AGE. ANA UMRI WA MIAKA MINGAPI. NADHANI NI ZAIDI YA 30,KWANI HIYO DOZI ALIYOPATA NI KUBWA KIASI KUTOKANA NA UMRI WAKE.

HIZO DAWA ZINA IMPACT KAMA NI MWANAUME 1. ANAKUWA HAWEZI SHIRIKI IPASAVYO TENDO LA NDOA,KWAKUWA ZINATIBU MISHIPA YA FAHAMU (nEURONRS). 2. USINGIZI- NI KAWAIDA SANA,KWA KIPINDI HIKI AMBACHO ANATUMIA DAWA ASIENDESHE GARI WALA KUFANYA KAZI NGUMU SANA ZA KUCHOSHA AKILI.

USJHAURI WANGU
A. APATE MUDA MWINGI WA KUPUMZIKA USIOPUNGUA MASAA 8
B. AKINYWA DAWA MUACHE ALALA USIMSUMBUE,KWA SASA ANAKUNYWA
C. ASIENDESHE GARI KABISA MPAKA AKIRUHUSIWE NA DAKTARI.
D. KAMA AMEOA AMUELEZE MKEWE IMPACT YA HIZO DAWA.

MWISHO. NIPE UMRI WAKE NIWEZE KUSHAURI ZAIDI.
 
kusinzia ni jambo la kawaida unapotumia hizo dawa hasa kwa siku za mwanzoni.
cha muhimu asipuuze dawa, maana mpaka amepewa hizo dawa basi tatizo lake ni kubwa ukilinganisha na huko kusinzia sinzia.
pia asizidishe dozi bila kushauriwa na daktari maana ina madhara pia.
 
safi sana.
 
yy anaumwa nn
 
Asante sana ana umri wa miaka 35 na ni mwanamke mkuu!!
 
Namuonea huruma sana kwani kazi yake mpk apande pkpk alafu ni mwalimu sasa kazi ataweza kufanya tena??na je baada ya hizo dawa tatizo la kuanguka linaisha??
 
NI MUDA GANI KA AANZE KUANGUKA?KUNA RAFIKI YANGU AMEPONA HILO TATIZO KAMA NI KIFAFA JIBU SWALI LANGU NIKUULIZIE NAMBA YA SIMU AKIMALIZA HZ DAWA UMTAFUTE HUYU DAKTARI
 
Anaweza kupona kabisa au ni dawa za kutuliza tuu?
 
Asanteni ndugu zangu mlionipa ushauri katika hili mgonjwa wangu amezingatia dawa sasa hv ana miezi kama mitatu hajaanguka,na anaendelea na dawa!!
 
Make dawa alianza November 2016 na mara ya mwisho alianguka October!! Ndo nafuatilia uhamisho wake!!
 
NI MUDA GANI KA AANZE KUANGUKA?KUNA RAFIKI YANGU AMEPONA HILO TATIZO KAMA NI KIFAFA JIBU SWALI LANGU NIKUULIZIE NAMBA YA SIMU AKIMALIZA HZ DAWA UMTAFUTE HUYU DAKTARI
Naomba kujua dalili za mwanzo za kifafa kabla kufikia hatua ya kuanguka na inasababishwa na nini
 
KUTO KUPATA MAFUA KWA KIPINDI KIREFU,KUTO KUPIGA CHAFYA,KUSTUKA KUZUBAAA,KUPOTEZA KUMBUKUMBU NA KUUMA AU KUTAFUNA ULIMI.
Naomba kujua dalili za mwanzo za kifafa kabla kufikia hatua ya kuanguka na inasababishwa na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…