Dawa za Kichina na dada zetu

Dawa za Kichina na dada zetu

Gudboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
867
Reaction score
82
haya dada zetu haya ndio matokeo ya kutuymia hizi dawa za kichina kwa ajili ya kukuza na kuunguza maumbile yenu, hebu acheni jamani wadau mnasemaje

i763_dawazakichina.jpg
 
Duh hii kali mkubwa, ni kweli huyu mtu au jini? sasa si kituko hicho
 
du nki baraaaaa,anaishi wapi huyoo au anapaendelea kwenda beach gani
 
ni kompyuta modification hiyo!! mtu hawezi kuwa na hips ka hizo!!
yuko poa lakini!!
 
Back
Top Bottom