Duh manyonyo yanakuwa mito ya kulalia hiiii kali hahaha
yaani huyu binti ukizaa nae unampiga marufuku kunyonyesha mtoto wala kulala karibu na mtoto maana asubuhi unaweza ukakuta kitoto kimeshabadilishwa jina na kuwa marehemu
What about the side effects? Si tunakuja kuambiwa mara kansa ya matiti, mara kansa ya shingo ya uzazi? Kaazi kweli kweli!
Je, wanaume nao wanachangia kuwafanya akina dada wapende kukuza nyonyo zao?