Salaam ndugu zangu.
Nimekuwa kwa muda nikihudhuria clinic moja mitaa ya Sinza kwa remy kwa ugonjwa wa kuwashwa ngozi, sasa kila nikienda napewa dawa tofauti kama aina saba hivi, but ukiangalia, ukinywa zina same test, halafu kama maji, tafadhali mwenye uelewa na hili please nisaidie ni dawa zile au tunapewa imani na kupona kimtindo?
Pia zipo expensive sana na ni kwamba watu wengi wanaenda ndo ikanipa imani nami niende pale!