Dawa za kikohozi na madawa ya kulevya

beric

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
41
Reaction score
14
Nina rafiki yangu ambaye ananunua dawa za kikohozi kila siku na hawezi kuacha.
Iko hivi, dawa nyingi za kikohozi zina codeine Ndani yake. Codeine ni dawa ya kulevya ambayo kama zilivyo dawa zingine, huleta addiction. Tafadhali usitumie dawa yoyote bila kushauriwa na mtoa huduma za afya kwani kufanya hvyo ni Drug Abuse...
 
Indeed. Ila kawa mwathirika wa dawa za kulevya Tayari bila kujijua. I think wako Wengi kama huyu rafiki yangu hawajui tuuu
 
Dawa tatu

(high caffeine content)

Kuna watu hawawezi chochote bila DAWA TATU

NB panadol advance.

Yes, Pepsi, Coca-Cola, Red Bull, zote zina caffeine, nazo zina caffeine.
Panadol haina caffeine. Ina paracetamol tuu. And it's the least harmful ingawa nayo Ina shida yake pia in long high dose use.
 
Pia wako wanaojua na wanazitumia kama mbadala wa dawa za kulevya zilizozoeleka kama Cocaine au Heroin. Pia hii ni aina ya ulevi unaochipukia hasa baada ya uthibiti wa dawa za kulevya kuwa mkali.

Matumizi ya Syrup zenye viambato aina ya Codeine and the likes kama dawa za kulevya yako sana kwenye Nigeria na hii ni aina ya ulevi unaokuja kwa kasi sana.

Baadhi ya maeneo ya South Africa kuna wakati walikuwa wanatengeneza misokoto yenye mchanganyiko wa viambato mbalimbali ikiwemo Efavirenz ambayo ni aina ya ARVs. Michanganyiko hi hujulikana kwa jina la Wunga.

Pia dawa kama Valium na Ephedrine hutumika kama vilevi na baadhi ya watu.
 

Thank for insight nzuri
 
Panadol Extra ile nyekundu maana boss wangu kila ananituma mpaka nimechoka
Yes, Pepsi, Coca-Cola, Red Bull, zote zina caffeine, nazo zina caffeine.
Panadol haina caffeine. Ina paracetamol tuu. And it's the least harmful ingawa nayo Ina shida yake pia in long high dose use.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…