Nimekutana mara kadhaa na hawa MaDr wa mitipori wa Kimasai wakinadi dawa ya kuotesha nywele kwa wenye vipara!
Ninachopenda kujua kama kuna mdau ameisha tumia hizi dawa na kweli zikaotesha nyweleze atupatie ushuhuda hapa...
Itapendeza akiweka hata kapicha kuonyesha kabla na baada ya tiba hii mbadala.