Dawa za Kulievia zinateketezwa wapi?

Dawa za Kulievia zinateketezwa wapi?

Prime Dynamics

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2010
Posts
551
Reaction score
249
Jamani naomba kuuliza madawa ya kulevia yakikamatwa yaonyeshwa kwenye vyomba vya habari. Je mbona hawaonyeshi yakiteketezwa? ni bangi tu ndio inaonyeshwa ikiteketezwa mashambani. cocaine na heroin zikikamatwa airport zinapotelea wapi?
 
Uko mbali sana anza na Gongo huwa inaenda wapi? Ha haaa, wanakunywa, madawa jamaa wanauza usipime. Hushangai mapolisi baadhi wanamaisha ya juu sana. Watoto wanasoma UK,US nk.
 
Tv Feki tunaona zinavyoteketezwa,
Mashamba ya bangi tarime tunaona yanavyochomwa moto,
Lakini madawa ya kulevya sijui huwa inakuwaje, bila shaka warehosue yao itakuwa na tani nyingi sana.
 
Back
Top Bottom