Dawa za kuongeza urefu wa mwili

A.Ngindo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
276
Reaction score
101
Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze
 
Inayoongeza urefu wa dushe itakuongezea na urefu wa mwili!
 
Ukitaka hiyo dawa uende polisi useme nataka dawa ya kuongeza urefu.
 
Mkuu, kwani height yako ni kiasi gani kwa sasa... Badala ya kukupa dawa ya kurefusha kimo, tunaweza kukusaidia pia dawa ya kurefusha mawazo yako. Yani ukisimama sehemu ukaongea, inaonekana pande la baba linatema point..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…