hujui ubonge wa Mtu dili huku, naitwa chura mwenzako. sipungui Leo wala kesho πNinayo juice ya kupunguza ubonge wa mtu !! hapohapo mie naendelea na mazoezi...π
ha ha ha ha .... NO COMMENT !!hujui ubonge wa Mtu dili huku, naitwa chura mwenzako. sipungui Leo wala kesho π
Kumbe na wewe ni Andunje generation?Exactly.. ila atapendeza kama ZZ !!!
mie babalao.....πππ !!!Kumbe na wewe ni Andunje generation?
Haya ni mazoez ya mgongo kifua na mikono mkuuukipata nami nishtue mana waluguru sisi tumezidi aisee
Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze