Dawa za kupunguza makali ya VVU,Marekani kuzitumia kama kinga ya Ukimwi

Dawa za kupunguza makali ya VVU,Marekani kuzitumia kama kinga ya Ukimwi

Bokohalamu

Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
94
Reaction score
8
source taarifa ya habari TBC,nimesahau jina la aina ya dawa hizo.Hii imekaaje wataalamu?
 
cjakuelewa

Mkuu ni hivi,kwenye taarifa ya habari tbc leo usiku wametangaza kua kuna aina flani ya dawa za kupunguza makali ya VVU,ambazo hutumiwa na wagonjwa wa Ukimwi.Marekani wao kuitumia kama kinga ya Ukimwi,kivipi?hawakuelezea kiundani,hivyo nikua nawataka wataalamu waliosikia watujuze kitaalamu zaidi.
 
Back
Top Bottom