Mkuu ni hivi,kwenye taarifa ya habari tbc leo usiku wametangaza kua kuna aina flani ya dawa za kupunguza makali ya VVU,ambazo hutumiwa na wagonjwa wa Ukimwi.Marekani wao kuitumia kama kinga ya Ukimwi,kivipi?hawakuelezea kiundani,hivyo nikua nawataka wataalamu waliosikia watujuze kitaalamu zaidi.