Jumaa gosso
Senior Member
- Sep 4, 2016
- 188
- 127
Ok thenx kwa ushauriMkuu hizi dawa mara nyingi zina side effects nakushauri uzingatie mazoezi na pia balanced diet.
Mkuu nitafute mimi nikupe dawa yangu ya kupunguwa mwili wako. Dawa yangu toka nje ya Tanzania kwa jina inaitwa Natural FitoForm Plus chupa 6 utatumia kwa muda wa miezi 6 na kupunguwa tumbo,mafuta,kitambi na unene wako. Dawa ni ya mitishamba iliyo tengenezwa kwa njia ya kisasa vidonge (Capsule) haina madhara kwa mtumiaji. Ukihitaji nitafute kwa wakati wako.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.Habari wana Jf mm nikijana wa miaka 23 nimekuwa na tatizo la Unene hali hii kiukweli inanitesa sana
Kuna rafiki yangu amenipa ushauri ninunue dawa za kupunguza mwili je hizi dawa nikweli zinatibu au maana naogopa nikanunua mwisho wa siku nisione mafanikio yoyote. Ambae ameshawahi kutumia hizi dawa naomba anipe ushuhuda wake
Mwenye maoni au ushauri karibu
Ok nitakutafuta nduguMkuu nitafute mimi nikupe dawa yangu ya kupunguwa mwili wako. Dawa yangu toka nje ya Tanzania kwa jina inaitwa Natural FitoForm Plus chupa 6 utatumia kwa muda wa miezi 6 na kupunguwa tumbo,mafuta,kitambi na unene wako. Dawa ni ya mitishamba iliyo tengenezwa kwa njia ya kisasa vidonge (Capsule) haina madhara kwa mtumiaji. Ukihitaji nitafute kwa wakati wako.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
View attachment 535765