Dawa za kutuliza maumivu na zinavyotumika kienyeji

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

KWA UFUPI
* Ni Diclopar, Diclofenac, Ibuprofen

Dawa maarufu za maumivu zilizozagaa katika maduka ya dawa nchini zinatajwa kuchangia ugonjwa wa kiharusi, moyo, vidonda vya tumbo na vifo vya ghafla, imebainika.

Imeelezwa kuwa watu wanaotumia dawa za kutuliza maumivu za Ibuprofen, Diclofenac na Diclopar mara kwa mara wapo katika hatari ya kupata maradhi ya moyo na kiharusi kwa asilimia 40 na hufa vifo vya ghafla.

Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi katika Jiji la Dar es Salaam na viungo vyake umebaini kuwa madaktari wengi huwaandikia wagonjwa dawa hizo, zikiwa ndizo dawa maarufu za kutuliza maumivu.

Madaktari na wafamasia hao waliulizwa kwa nyakati tofauti na Mwananchi, ni dawa zipi za maumivu wanazowaandikia mara kwa mara wagonjwa na wakazitaja kuwa ni Diclofenac, Ibuprofen, Diclopar, Paracetamol na Tiroxam.

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, kutoka Taasisi ya Moyo Tanzania, Ferdinand Masau anasema kwa kawaida dawa zote zina madhara, ingawa hana uhakika iwapo dawa hizo zina athari kwenye moyo.

"Kwa ninavyojua dawa hizi zikitumiwa mara kwa mara zinasababisha michubuko tumboni na kusababisha vidonda vya tumbo," anasema Dk Masau.
Mtaalamu wa Famasia ambaye hakupenda kutajwa jina lake alisema ana uhakika kuwa paracetamol (panadol) ikitumiwa kwa muda mrefu inaweza kusababisha matatizo katika ini na pia dawa hizo za maumivu huchochea vidonda vya tumbo.

"Paracetamol na Diclofenac zinaweza kusababisha ‘ulcers' (vidonda vya tumbo) na baada ya muda mtu huweza kupata saratani ya ini, lakini kwa madhara mengine yaliyotajwa sina uhakika sana," alisema famasia huyo.

Aidha, uchunguzi wa Mwananchi ulibaini kuwa wengi wanaotumia Diclofenac na Ibuprofen mioyo yao huwaenda mbio dakika chache baada ya kuzimeza.
Licha ya kuzungumza na madaktari, Mwananchi lilipita katika maduka kadhaa ya dawa na kugundua kuwa dawa hizo huuzwa kwa wingi, tena bila ya cheti cha daktari.

Dawa maarufu ya Ibuprofen inatajwa kuchangia kwa asilimia 18 shinikizo la damu na kiharusi.
Diclofenac inayopendelewa na watu wengi kwa kutuliza maumivu haraka nayo imebainika kuchangia maradhi hayo kwa asilimia 51.

Kwingineko, utafiti uliofanywa katika nchi 51 duniani ikiwemo Tanzania umeonyesha kuwa zaidi ya watu milioni 2.7 hufa kutokana na matumizi ya dawa hizi.

Dawa hizi aina ya NSAIDS kwa kawaida hutumika kutibu maumivu, uvimbe, maumivu ya mgongo, kichwa, homa, mafua na kushusha joto la mwili.

Takwimu zimeonyesha kuwa matumizi ya dozi ndogo tu ya diclofenac hasa kwa kutuliza maumivu kwa watu waliotoka kufanyiwa upasuaji huchangia kwa asilimia 22 maradhi ya moyo.

Aidha, matumizi makubwa na ya mara kwa mara ya dawa hizo zinazoandikwa na madaktari zinachochea maradhi ya moyo na kiharusi kwa asilimia 98.
Dawa ya Ibuprofen haina madhara kwa wale wanaotumia mara chache, lakini wale wanaotumia mara kwa mara wapo katika hatari kwa asilimia 78.

Kiongozi wa utafiti huo, Dk Patricia Mcgettigan anasema madaktari na wagonjwa wanahitaji uelewa zaidi kuhusu matumizi ya dawa hizi. Wapate uelewa juu ya hasara na faida za watumiaji wa dawa za maumivu.

Anasema watu wengi hasa katika nchi zinazoendelea hawana tabia ya kupima afya zao wakati mwingine hutumia dawa hizo wakiwa tayari na maradhi mengine na bila kuandikiwa na daktari hivyo kusababisha vifo.

Dk Mcgettigan anaongeza kuwa: "Watu wenye historia ya maradhi ya moyo, shinikizo la damu na kisukari wapo katika hatari ya vifo wanapotumia dawa hizi."
Matumizi ya Diclofenac yametajwa kuwa ni mabaya zaidi ambapo zaidi ya asilimia 40 ya watu duniani huathirika kila mwaka.

Kwa maana hiyo katika kila watu 50 duniani, mtu mmoja huathiriwa na dawa hizo hasa kwa maradhi ya mshtuko wa moyo.

Imeelezwa kuwa mwanamke mdogo mwenye afya njema ana hatari ya kupata maradhi ya moyo kwa asilimia 0.1, lakini anaweza kupata maradhi ya moyo endapo atatumia moja ya dawa hizo mara kwa mara.

Matumizi ya dawa hizo
Mfamasia katika Kituo cha Kuzuia Magonjwa ya Kuambukiza (IDC), Aneth Wilbroad alisema tabia ya Watanzania kunywa dawa bila ushauri wa daktari lazima iachwe.

"Watu huua maini, figo, kwa sababu ya kunywa dawa bila mpangalio," anasema Wilbroad.
Anasema unywaji wa dawa za maumivu mara kwa mara bila vipimo unaweza kuzaa maradhi makubwa kama ini na figo ambavyo huchuja sumu mwilini.

"Si kila unapoumwa kichwa unywe dawa za maumivu, wakati mwingine maumivu husababishwa na msongo wa mawazo, njaa au kutokunywa maji," alisema.

Anasema dawa si nzuri kwa asilimia 100 kwani zina madhara lakini zinatumika kwa sababu maradhi yapo. chanzo. http://www.mwananchi.co.tz/-/1596774/1714628/-/item/0/-/wfdvqoz/-/index.html

Mkuu Dr.@Mupirocin Dawa zenu ni sumu ona watu wanavyopata Maradhi punguzeeni kuwapa Madawa yenye Sumu (Side effect Drug)



 
Haya Ma-Daktari wapeni Wananchi walala hoi Sumu Dawa zenu Mukiwapunguza Wananchi kidogo kidogo kwa kuwapa Dawa zenye Sumu ehhh kasheshe kweli Dawa za Ma-Hospitalini jamani tumieni dawa za Mitishamba Tiba Mbadala hazina Madhara kwa

Binadamu tumieni sana Vitunguu maji ,Vitungu Saumu ,Tangawizi,Karafuu,Pilipli Mboga, Apple, Machungwa Matunda Mboga za Majani

kunyweni sanaMaji ya Uvuguvugu hamtakuwa tena na maradhi mwilini fanyeni Mazoezi japo kutembea

kwa miguu kila siku kwa umbali wa kilometa 5 kwa siku kwa ajili ya afya zenu huo ndio Wosia Wangu acheni madawa yenye sumu jamani tutakwisha sana.
 
Jaman tufanye nin sasa? Au ndio tusubiri kudra za muumba,tunatengeneza wenyewe zinatumaliza wenyewe..
Ni njia zipi/hatua gani zichukuliwe kuondoa sumu mwilini?
 
Achana na kula Madawa ya kupunguza maumivu kunywa sana Maji ya Uvugvugu ni Dawa tosha ya kila Maradhi pia ni kinga Tosha kwa Afya yako bibie..@Chocs

Faida za kunywa maji ya Uvuguvugu ya kutosha



Kunywa maji safi ya
Uvugvugu na salama kwa kiasi kinachostahili kiafya kunaweza kuyaboresha maisha yako na kukufanya ujihisi mwenye afya na furaha zaidi .

Kunywa maji ya
Uvugvugu ya kutosha kuna faida nyingi. Tukichukulia kunywa maji ya Uvugvugu ya kutosha

ni mithili biashara kati ya wewe na afya yako, biashara hii inalipa.


Zifuatazo ni baadhi ya faida za kunywa maji ya
Uvugvugu ya kutosha .

  • Husaidia mmeng'enyo wa chakula.



Vimengenya na Kemikali mbalimbali zinazohusika na mmen'genyo au usagaji wa chakula mwilini ziko katika hali ya mchanganyiko na maji. Ili hivi viweze kufanya kazi vizuri inatakiwa kuwe na uwiano sahihi kati yake na maji.Pia maji yanahusika katika kulainisha baadhi ya vyakula .

Pia kunywa maji ya kutosha kunaongeza ufanisi wa mwili katika kusharabu chakula.


  • Dawa ya maumivu ya kichwa.

Mara nyingine maumivu ya kichwa yanasababishwa na upungufu wa maji mwilini. Hii inamaanisha, kama una maumivu ya kichwa yanayosababishwa na upungufu wa maji mwilini unaweza kughairi kumeza vidonge vya kutuliza maumivu na kunywa maji. Hii inawezekana kwenye baadhi ya maumivu ya mgongo pia.


  • kuboresha afya ya ngozi.

Pendezesha ngozi yako kwa kunywa maji ya kutosha.
Unaweza kuboresha sura na mguso wa ngozi yako kwa kunywa maji ya kutosha kwani maji yanasaidia kuboresha tishu za ngozi na kuongeza unyevu kwenye ngozi .


  • kusaidia akili yako.

Maji yanauweka ubongo katika hali nzuri zaidi na ya ufanisi zaidi. Kunywa maji ya kutosha kunamwezesha mtu kufikiria kwa ufanisi zaidi.


  • kutatua tatizo la kukaukiwa haja kubwa (constipation)

Sehemu kikubwa ya haja kubwa ni maji. Kunywa maji ya kutosha kunaweza kukusaidia kupata haja kubwa kiulaini na mara kwa nyingi zaidi.


  • kuboresha hali ya viungo na misuli

Maji ya kutosha yanasaidia kupunguza tatizo la kubanwa misuli na pia hupunguza msuguano katika viungo vyako.


  • kuondoa uchovu Mwilini.

Maji yanachochea shughuli za kimetaboliki mwilini na kuongeza ufanisi wa ubongo kwa hiyo yanapunguza uchovu.


  • kupunguza uwezekano wa kupata baadhi ya magonjwa.

Uwezekano wa kupata mafua,mawe ya figo,matatizo ya ini,baadhi ya saratani n.k unaweza kupunguzwa kwa kunywa maji ya kutosha .


  • Maji yanaweza kusaidia katika kupunguza uzito.

Kama uko katika mkakati wa kupunguza uzito maji yanaweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa. Maji huongeza kasi ya shughuli za kimetaboliki mwilini. Ongezeko hilo la kimetaboliki

husababisha mwili kutumia nishati nyingi zaidi na hivyo huweza kupunguza kiasi cha nishati ambacho kitahifadhiwa mwilini katika hali ya mafuta au kupunguza kiasi cha nishati

kilichohifadhiwa mwilini.Pia ongezeko la ufanisi wa figo na ini kutokana na kunywa maji ya kutosha husaidia kutoa mazao ya mafuta ya ziada mwilini.



Maji hayaongezi nishati mwilini, kwa hiyo unywapo maji badala ya juisi,soda au vyakula au vinywaji vingine ambavyo huongeza nishati au mafuta mwilini unaongeza uwezekano wa kupungua uzito.




  • maji ni kiburudisho

kunywa maji ya kutosha kutakufanya ujisikie vizuri na pia kunaweza kupunguza safari za hospitali. Kunywa maji ya kutosha, fanya siku yako iwe poa zaidi. Maji ya
Uvugvugu Hayana Sumu wala Madhara kwa Binadamu yaani (Water No Side Effect)

Warning "Usinisingizie Mimi Mzizimkavu Sijasema ushindie maji asubuhi mpaka jioni."


 
Asante mtaalam nimekusoma...hehehehe,sitashindia maj..si nta pee mpaka nikome..!@ Mzizimkavu
 
Asante mtaalam nimekusoma...hehehehe,sitashindia maj..si nta pee mpaka nikome..!@ Mzizimkavu
Bibie Chocs ukiwa unakunywa maji mengi na huku unakojoa sio ndio vizuri figo lako linafanya kazi vizuri .
 
Last edited by a moderator:
Mzizi mkavu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi na uchovu vinaweza kuponywa kwa tiba gani mbadala??
 
Last edited by a moderator:
Matatizo ya Hedhi.

Matatizo ya Hedhi

Hedhi ni kutokwa kila mwezi kwa ukuta wa mji wa mimba katika kila mwanamkewa umri wa kuzaa. Mara msichana akifika umri wa kubalehe, ovari huanza kuzalisha idadi kubwa ya estrogen. Hii husaidia katika ukuaji wake namaendeleo kutoka usichana kwenda kuwa mwanamke, na pia hufanya uzaziwake. Ingawa hedhi ni hali ya kawaida kwa wanawake, karibu wote wanapatwa na matatizo yanayotofautiana au ya aina moja wakiwa hali hii.


Sababu ya Matatizo Hedhi
Kushindwa kutengenezwa kwa mayai
Mwinuko katika prolaktini serum
tezi ugonjwa
Dysmenorrhoea au maumivu kipindi
amenorrhoea au majeruhi wa hedhi
Utokaji wa hedhi bila mpangilio (Menorrhagia)
Oligomenorrhoea au vipindi kawaida / infrequent
Kuwa na Uzito mkubwa
Kuwa na mawazo yaliopitiliza
Utokaji zoezi
Kuwa na uzito wa chini au utapiamlo• Anorexia nervosa


Dalili ya Matatizo ya Hedhi
premenstrual mvutano
Tumbo la Hedhi
Kuwa na uwoga
Muwasho
Mfadhaiko
Kuumwa na kichwa
Ugumu katika kuzingatia baadhi ya mambo
Utimilifu katika matiti
Insomnia Kukosa usingizi
Uvimbe katika yamefika ya chini
Homoni usawa
Acne
bloating
Kuwa na Uchovu
Maumivu ya mgongo
Constipation
Kuhara
Chakula ndogo
Ugumu katika utunzaji msongo


Tiba kwa Matatizo Hedhi
Hedhi ni mtiririko wa kila mwezi wa damu kutoka mwili wa mwanamke. Ni kitu,lakini kumwaga bitana uterasi, ambayo husaidia katika utakaso uso ndani yatumbo. Hedhi ni kuhusiana na kazi ya ovulation au uzazi. Uzushi wa asili,hutokea mara kwa mara kwa wanawake,


katika umri wao wa kuzaa. Wakati wahedhi, au vipindi kama ni zaidi inajulikana kama, wanawake wanakabiliwa na matatizo kama vile menorrhagia au utokaji wa hedhi kati yake, au amenorrheastoppage wa hedhi, dysmenorrhoea au chungu hedhi, premenstrual

mvutanona tumbo wakati wa hedhi. Ili kukabiliana na matatizo yote haya, njia boraitakuwa udaku kwa tiba ya nyumbani, ambayo baadhi wamekuwa zilizotajwa hapa chini.

Njia bora ya kutibu matatizo ya hedhi itakuwa na parsley juisi, pamoja na juisi yoyote. Unaweza kuchanganya 75 ml ya parsley na juisi beet, karoti au tango, wa kiasi sawa.

Chukua kikombe cha maji na kuongeza kipande cha tangawizi mbichi na hiyo.Hakikisha pound tangawizi kabla kuiweka katika maji. Chemsha maji kwa dakika chache na kisha, uchovu. Changanya sukari kidogo decoction na hutumia, baada cools chini kidogo. Rudia hivi mara tatu kwa siku.

Sesame mbegu kuthibitisha kuwa ya manufaa katika kesi ya matatizo ya hedhi. Chukua tsp nusu ya mbegu poda ufuta, kwa glasi ya maji ya joto, mara mbili kwa siku.

Matumizi ya papai bichi ni manufaa kwa ajili ya kupata hedhi sahihi kati yake.Pia ni nzuri kwa wasichana ambao hedhi wameacha kutokana na stress au mvutano.

Andaa umwagaji kwa immersing nzima chickpea kupanda katika maji ya moto.Hii ni muhimu wakati kuna maumivu makubwa wakati wa hedhi.

mimea ya Marigold ni kusaidia katika kupunguza maumivu wakati wa hedhi na pia kuongeza mtiririko. Ni vyema kuwa na kijiko ya hii, mara mbili kwa siku.

Kwa wanawake ambao wanakabiliwa na tatizo la ua kupindukia hedhi, ndizi bila kutoa dawa ya ufanisi. Chemsha maua ndizi katika maji baadhi, mpaka ni zamu laini. Kuchukua nje, kuponda yake na kuwa ni pamoja na kikombe cha curd.

Katika nusu lita ya maji, kuweka gramu 6 ya mbegu coriander na chemsha mpaka nusu tu wingi bado. Sweeten decoction, pamoja na sukari au asali, na kuwa ni wakati joto.

Dondoo juisi ya maembe gome safi. Changanya 10 ml ya juisi na 120 ml ya maji. Je hii mchanganyiko katika dozi ya 1 au 2 tsp, kila saa moja.

Unaweza pia hutumia maji ya gome safi embe, baada ya kuongeza yai nyeupe au baadhi utomvu na kiasi kidogo cha punje ya poppy, kwa hiyo.

Chemsha 90 gm ya maganda ya mti Ashoka, katika 30 ml ya maziwa na 360 ml ya maji. Endelea kuchemsha mpaka kiasi jumla ni kupunguzwa kwa ml kuhusu 90. Kunywa hii katika dozi 2 au 3. Kuanza kuteketeza hii decoction kutoka siku ya nne ya kipindi kila mwezi, mpaka damu ni checked.

Hutumia gramu 13-25 ya mimea Hindi barbery, kutokwa na damu nyingi wakati wa.

Andaa infusion ya 'mbaya makapi' mimea na steeping 15 gm yake, katika 250 ml ya kuchemsha maji. Chuja mchanganyiko na kunywa wakati joto.

Chemsha Vijiko viwili vya mbegu hermal katika lita moja ya maji nusu. Mara decoction ni kupunguzwa kwa 1/3rd wingi wake, kuacha kuchemsha. Uchovu na basi ni baridi chini kidogo. Kuwa ni katika kiwango cha ml 15-30, kwa siku.

Chukua lita nusu ya maji na chemsha kwa vichwa tano kubwa ya hemps, mpaka inapunguza kwa moja na nusu. Chuja decoction, upoe chini na kuwa ni kabla ya kwenda kitandani.@Zion Daughter
 
HEDHI KUITULIZA MAUMIVU YAKE:


TIBA 1:
Ili kuteremsha hedhi na kutuliza maumivu yake Changanya asali kikombe kimoja cha kahawa (50ml) na kijiko kimoja (10ml) cha mafuta ya haba soda .Kisha chota vijiko viwili (2×10ml) vya mchanganyiko huu uweke kwenye kikombe kimoja cha chai (200ml) au kwenye maji ya vugu vugu.
Mgonjwa atakunywa kutwa mara tatu (1×3).

TIBA 2: Pia Mgonjwaa unaweza ukatafuna punje moja ya kitinguu Saumu kila baada ya kunywa dawa hii.

 
Panadol Or Paracetamol.‏

PANADOL


My husband was working in a hospital as an IT engineer, as the hospital
is planning to set up a database of its patients and he knows some of
the doctors quite well. The doctors used to tell him that whenever they
have a headache, they are not willing to take PANADOL / PARACETAMOL.

In fact, they will turn Herbal Medicine or find other alternatives. This
is because Panadol is toxic to the body, and it harms the liver. According to the doctor, Panadol will remain in the body for at least 5 years.


And according to the doctor, there was an air-hostess who consumed lots of Panadol as she needed to stand all the time and work under lots of pressure. She's now in her early 30's, and she is undergoing kidney cleaning (DIALYSIS) every month.

Whenever we have a headache, that's because it is due to the electron / Ion imbalance in the brain.

Some alternative solution to cope with this matter is

Drink lots of water.


Another method will be to submerge your feet in a basin of warm water so that it brings the blood pressure down from your throbbing head.

As Panadol is a pain killer, the more Panadol you take, the lesser would
be your threshold for pain (your endurance level for pain). We all will
fall ill as we age.

Imagine that we had spent our entire life popping quite a substantial
amount of Panadol (Pain Killer), when you need to have a surgery or
operation, you will need a much more amount of general anaesthesia.


If you have a very high intake of Panadol throughout your life
(Migraine, Menstrual cramps ) it is very likely that normal general
anesthetics will have no effects on you as your body is pumped / full with
Panadol and your body is so used to pain killer that you would need a
much stronger pain killer, Morphine????

The thought is scary enough to turn me to Herbal Medicine or other
healthier alternative. Value your health, value your life, THINK TWICE
before you easily pop that familiar pill into your mouth again.

Please don't take PANADOL always and try to send his e-mail to people you care.
 
Thanks MziziMkavu ila hivyo vimimea kuvipata ni issue vingine havijulikan
Mkuu.@v Ningelikuwepo mimi hapo Dar ningelikupatia lakini sipo Dar nipo nje ya nchi nenda Mitaa ya sokoni Kariakoo kuna mtaa mmoja unaitwa Mtaa wa pemba kwa wauza Dawa za kiarabu wapemba watakuwa hao kaulizie utazipata hizo dawa au kama upo karibu na waarabu waulizie hizo dawa watakupatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…