Kuna dawa za duo cetexin zimetapakaa madukani ambazo zimekwisha muda tangu november 2013 mbaya zaidi wamejaribu kufuta maandishi ya kwenye box na kuya edit ile tatu kwenye mwaka 2013 imebadilishwa kuwa tano lakini ile tano imeandikwa kwa kalamu ilhali yale maandishi mengine yame chapishwa kwa mashine hii utaigundua ukichukua lile pakiti la blister na kuangalia expire date...jana ndugu yangu amekuja nazo nyumbani baada ya kumeza ni mwendo wa kutapika mwanzo mwisho....hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo