dawa za mbu

dawa za mbu

mswele

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
687
Reaction score
417
habari za jioni wapendwa wa jukwaa hili tukufu natumai muwazima wa afya,naomba kuuliza kwa wataalamu kuhusu hizi dawa za mbu mfano kuna hii iliyotoka ya kufukiza je haina madhara iwapo utafukiza chumbani halafu munalala na mtoto mdogo japo moshi umetoka lakini ile sumu iliyobaki kwa mtoto na mama mwenye mimba kuna madhara yoyote?
 
Kwani kwenye maelezo yake imesemaje....?......umeisoma....?....
 
Kwani kwenye maelezo yake imesemaje....?......umeisoma....?....

kwenye maelezo yake hawajaandika kama ina uhatari kwa watoto au wenye ujauzito ndo maana nikauliza tupate faida zaidi
 
Unaweza kupima allege au dalili na viashiria vinavyojitokeza baada ya kuvuta dawa hizo inaweza kuwasha ngozi mafua current ,kikohozi ,kichwa kuuma ,au kifua kubana nasema hivi kwa kuwa mimi ni muathirika wa dawa hizo
 
Angalia bio yangu hiyo profile pic inaonesha picha ya mkono wangu nikifanyiwa kipimo cha allege
 
haina madhara ila hakikisha huo moshi umeisha na harufu pia...
 
Back
Top Bottom