habari za jioni wapendwa wa jukwaa hili tukufu natumai muwazima wa afya,naomba kuuliza kwa wataalamu kuhusu hizi dawa za mbu mfano kuna hii iliyotoka ya kufukiza je haina madhara iwapo utafukiza chumbani halafu munalala na mtoto mdogo japo moshi umetoka lakini ile sumu iliyobaki kwa mtoto na mama mwenye mimba kuna madhara yoyote?
Unaweza kupima allege au dalili na viashiria vinavyojitokeza baada ya kuvuta dawa hizo inaweza kuwasha ngozi mafua current ,kikohozi ,kichwa kuuma ,au kifua kubana nasema hivi kwa kuwa mimi ni muathirika wa dawa hizo