Dawa za uume kutosimama vizuri

Dawa za uume kutosimama vizuri

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
Habari wakuu.
Nini dawa ya uume kuto simama vizuri?
Ahsante
 
Habari wakuu.
Nini dawa ya uume kuto simama vizuri?
Ahsante

dawa ipo mkuu ni tangawizi njia za kuitengeneza ili ilete matokeo mazuri nipm gharama za maelezo ni tsh elfu10 tu matokeo ndani ya siku moja baada ya kutumia
 
dawa ipo mkuu ni tangawizi njia za kuitengeneza ili ilete matokeo mazuri nipm gharama za maelezo ni tsh elfu10 tu matokeo ndani ya siku moja baada ya kutumia

Mwaga data na maujuzi hapa...., mbona wenzio wanasaidia wengine bure...., hebu toa msaada maana hata mimi ni mhanga
 
njoo pm tuongee usije ukajidanganya kutumia viagra tukakupoteza
 
Chukua mayai saba ya kienyeji changanya na vijiko saba vikubwa vya asali kwa kukoroga...mchanganyiko huu piga asubuhi kabla haujala kitu chochote...piga ndani ya wiki mbili...itasimama hadi mishipa itauma...punguza chips yai na artificial food,fanya mazoezi walau push ups 50 na squarts 50 unapoamka...kitu kitasimama had utasema po!
http://youtu.be/rsrVvICJg68
 
Njoo tukupe putuluu..dawa ya kikongo balaaaa dushe litasimama mpaka mwisho wa dunia
 
Chukua mayai saba ya kienyeji changanya na vijiko saba vikubwa vya asali kwa kukoroga...mchanganyiko huu piga asubuhi kabla haujala kitu chochote...piga ndani ya wiki mbili...itasimama hadi mishipa itauma...punguza chips yai na artificial food,fanya mazoezi walau push ups 50 na squarts 50 unapoamka...kitu kitasimama had utasema po!
http://youtu.be/rsrVvICJg68

Duuu hii si ni dawa ya kikohozi?
 
Duuu hii si ni dawa ya kikohozi?
Inatibu kikohozi, kupata choo kisafi,kusafisha uchafu ulio tumboni,inajenga uimara wa misuli na n.k...mm huwa natumia ila nimepunguza kutumia kutokana dushelele kusimama ovyo...naweza baka bure!
 
Jaribu pia na whitedent..mkuu
Lamba kutwa mara tatu...baada ya siku mbili utayaona mafanikio...
 
  • Thanks
Reactions: ldd
Back
Top Bottom