Habari wakuu.
Nini dawa ya uume kuto simama vizuri?
Ahsante
dawa ipo mkuu ni tangawizi njia za kuitengeneza ili ilete matokeo mazuri nipm gharama za maelezo ni tsh elfu10 tu matokeo ndani ya siku moja baada ya kutumia
Habari wakuu.
Nini dawa ya uume kuto simama vizuri?
Ahsante
Chukua mayai saba ya kienyeji changanya na vijiko saba vikubwa vya asali kwa kukoroga...mchanganyiko huu piga asubuhi kabla haujala kitu chochote...piga ndani ya wiki mbili...itasimama hadi mishipa itauma...punguza chips yai na artificial food,fanya mazoezi walau push ups 50 na squarts 50 unapoamka...kitu kitasimama had utasema po!
http://youtu.be/rsrVvICJg68
Inatibu kikohozi, kupata choo kisafi,kusafisha uchafu ulio tumboni,inajenga uimara wa misuli na n.k...mm huwa natumia ila nimepunguza kutumia kutokana dushelele kusimama ovyo...naweza baka bure!Duuu hii si ni dawa ya kikohozi?
Jaribu pia na whitedent..mkuu
Lamba kutwa mara tatu...baada ya siku mbili utayaona mafanikio...
Jaribu pia na whitedent..mkuu
Lamba kutwa mara tatu...baada ya siku mbili utayaona mafanikio...
Mwaga data na maujuzi hapa...., mbona wenzio wanasaidia wengine bure...., hebu toa msaada maana hata mimi ni mhanga