dawa ipo mkuu ni tangawizi njia za kuitengeneza ili ilete matokeo mazuri nipm gharama za maelezo ni tsh elfu10 tu matokeo ndani ya siku moja baada ya kutumia
Watu mpo kibiashara zaidi.
Chukua mayai saba ya kienyeji changanya na vijiko saba vikubwa vya asali kwa kukoroga...mchanganyiko huu piga asubuhi kabla haujala kitu chochote...piga ndani ya wiki mbili...itasimama hadi mishipa itauma...punguza chips yai na artificial food,fanya mazoezi walau push ups 50 na squarts 50 unapoamka...kitu kitasimama had utasema po!
http://youtu.be/rsrVvICJg68
Habari wakuu.
Nini dawa ya uume kuto simama vizuri?
Ahsante
Naomba uletemrejesho hapa hapa....Habari wakuu.
Nini dawa ya uume kuto simama vizuri?
Ahsante
Afuate huu ushauri , halafu atuletee mrejesho.Achaneni nao hao, tatizo la ajira linawasumbua hao waganga wa kienyeji.
Kwanza acha Punyeto km unatumia. Pili Asali mbichi inasaidia sn kuondoa tatizo hilo, uwe una kunywa vijiko vya chakula viwili mara tatu kwa siku, asubuh, mchana na jion kwa mda wa wiki mbili. Baada ya hapo endelea kwa kukoroga kwenye chai badala ya sukari asubihi na usiku kwa muda wa wiki mbili tena. Mwisho endelea kutumia asali mbichi km sukari ktk chai asubihi tu. Pia endelea kitumia asali km sehemu ya diet mf kupaka kwenye mkate n.k. Toka ulipoanza kutumia asali baada ya wiki mbili au mwezi unaweza kugegeda vzr tu.
Unaweza kupunguza matumiz ya asali na ukatumia kawaida tu na bila kusahau natural foods na matunda.
Dalili za kuanza kupona ni kupata morning erection, wkt mwingine itasimama kwenye dala dala au ukiwa mbele ya wanafunzi wenzio unapresent. Jaribu utakuja niambia hapa hapa ila usisahau kula vizuri, dona, ulezi, sea foods, nuts, majani, maziwa na matunda ya aina zote. Achana na mapombe, masoda au artificial foods n drinks, kunywa maji mengi na juisi za kutengeza za asili, matikiti, matango n.k. Baadae utakaa sawa na utasahau hilo tatizo km lilikuwepo.
Duh! Dushelele pia linaombewa?Njoo ufanyiwe maombi....
Naomba uletemrejesho hapa hapa....
Usikose asubuhi-ussiku 2spons asali mix na mdalasini, juice ya tikiti mchana Karanga mbichi kula na muhogo mbichi, sea food hasa hasa supu ya pweza,, Fanya mazoezi japo 30mins/day.....acha vitu vya gas tumboni...soda, pombe, mafuta mafuta punguza(chips zege), kunywa maziwa na tende...bada ya 7days ukitumiaa utanambia.....
Habari wakuu.
Nini dawa ya uume kuto simama vizuri?
Ahsante