Jarbu zote itakayokutibu mapema ndio uendelee kumtumia, KUMBUKA kupona na kutopona ni ww mwenyewwakuu naomba mnijuze kati ya dawa za mmasai na hizi za kisunna wanauza maustadh kwenye maduka ya madawa yao zipi zinafanya vizuri katika tiba? nisaidieni ili niamue kwenda kwa masai ama ustadh
Jini linaliwa mkuu?Kwa wamaasai utalishwa uchafu,maust watakulisha majini,uamuzi ni wako!
Kwa ustadhi huyo jini anakulishaje kama dawa ya kupaka je?Kwa wamaasai utalishwa uchafu,maust watakulisha majini,uamuzi ni wako!
imani yako itakuponya.....
una ubongo au una funza kichwani....imani yake itamponya juu ya kile atakachokitumia eidha dawa za kimasai au za maustadhi...Kwaiyo aumwe alafu asuburi imani ifanye kazi bila kutumia dawa wala nn
Mkuu umekula kweli usiku au maisha yako mchaka mchaka
Kanisani nako zipo dawa?Mnamuweka-ga Mungu wa mwisho, yaani utahangaika hukooo weeeee ukiishiwa sasa huna jinsi tena. " sasa unajitikeza kanisani".
Hajakuuliza kuhusu imani!inamaana za hospital hauziamini kiasi cha kutoziweka kabisa hata ktk machagulio?
Sent using Jamii Forums mobile app