Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 738
Nenda hosptal upate ushauri wa daktr usije ukawa unaongeza tatizo lingine na usike kutapeliwaNaombeni mnitajie dawa za kuongeza nguvu za kiume za dukan au za asili namna ya kuzitumia nipo tabora naziitaji wk hii kuna manzi nimeipata nimechoka kudharauliwa na wasichana
Sent using Jamii Forums mobile app
gwe Nkamo? fyofiki? ya nini hayo makinikia?Naombeni mnitajie dawa za kuongeza nguvu za kiume za dukan au za asili namna ya kuzitumia nipo tabora naziitaji wk hii kuna manzi nimeipata nimechoka kudharauliwa na wasichana
Sent using Jamii Forums mobile app
ProveChemsha mdalasini wa India (mwekundu) weka asali, kunywa kama Chai
We kunywa uoneProve
Jiandae kutapeliwa.Naombeni mnitajie dawa za kuongeza nguvu za kiume za dukan au za asili namna ya kuzitumia nipo tabora naziitaji wk hii kuna manzi nimeipata nimechoka kudharauliwa na wasichana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hii niliikaushia...niliivutia pumziUmechelewa....
Sent from my TV
je?? hanakula mlo kamili watanzania kwa asilimia kubwa tunapata magojwa kutokana na vyakula tunavyokula..Mkuu , week , mzima hii piga asali , vitunguu somi , na habat soda yaan utaniambia
Sent using Jamii Forums mobile app