KERO Dawasa bomba limetoboka Mlima Ukonga Mwezi sasa hakuna matengenezo yoyote

KERO Dawasa bomba limetoboka Mlima Ukonga Mwezi sasa hakuna matengenezo yoyote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
770
Reaction score
794
DAWASA, sielewi utendaji wao. Sisi wakazi wa Ukonga karibu na Aviation House, ni mwezi sasa maji hayatoki. Kuna tatizo la kutoboka kwa bomba kubwa Mlima Ukonga, lakini licha ya DAWASA Kinyerezi kupewa taarifa, hakuna kinachoendelea mpaka sasa kulitengeneza bomba hilo ili tuweze kupata maji.
 
Magufuli alikuwa akifukuza mtu hadharani kidhalilishaji mnaanza kupika majungu.

Mji mkubwa kama Dar jambo hilo linawezekanaje bila wadau kupewa taarifa ya uharibifu, pia kuchukua hatua za dharula na haraka kutokana na sura ya jambo lenyewe!

Mpigie Aweso personally, lakini naye kakosa meno siku hizi, maana kila mtu ni mamaaa, mamaaa, akiwazodoa hao mumiani mama atakasirika na kutumbua.
 
Back
Top Bottom