DAWASA: Changamoto ya maji Tabata kuisha Disemba 2024

DAWASA: Changamoto ya maji Tabata kuisha Disemba 2024

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Mhandisi Mkama Bwire, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) amesema sasa changamoto ya maji inyoikumba Tabata itakwenda kuisha Disemba

"Kuna Tanki kubwa lenye uwezo wa kuhifadhi lita za Maji milioni 9 kwa siku, ambalo linajengwa kwa gharama ya takribani bilioni 34.5 ambalo litaeda kupunguza changamoto ya Maji katika maeneo ya Tabata, Ukonga mpaka Kibamba, mradi huu kwa sasa umefikia 60%, na Kama hakutakuwa na changamoto tunatarajia mradi kukamilika Disemba 2024"

Pia soma
 
Zimebaki siku chache naamini limekamailishwa au liko kwenye hatua ya testing, Mungu wabariki waTanzania akili ziwarudi
 
Back
Top Bottom