DAWASA how do you make money?

DAWASA how do you make money?

doup

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Posts
2,706
Reaction score
2,861
Kwanza asanteni Kwa kuwa wakweli, maana maji yenu imekuwa bidhaa adhimu huku Kwetu. Kama notisi 👇

Ndugu mteja A/C A1049*31*76*, KUMBUKUMBU 99104*30*06* , Bill yako ya Novemba/2024 umetumia uniti 0, kutoka 427 mpaka 427 sawa na Tshs. 0. Salio/Ziada ni Tshs. 0, jumla Tshs. 0. BILI HII NI NOTISI. (Piga 0800110064 bure)

Sasa Kwa style hii pesa mnatengenezaje?, manager wa kanda hii Hana target ya mapato? Maana kama amewekewa lengo la makusanyo, angeona kuna tatizo sehemu, alishughulikie. Au ukwasi umewazidi tayari na mnatoa gawio.

Shirika hili lilitakiwa liwe Tajiri kupita yote, yaani ukwasi wa kumwaga, hadi wazee DP W nao wangelitamani, kwani maji ni Uhai, unaweza ishi bila umeme ila bila maji ni Habari nyingine
 
Back
Top Bottom