Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
DAWASA imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau aliyelalamikia changamoto ya Huduma ya Maji Kibaha,
kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ DAWASA Kibaha nini tatizo? Hakuna Huduma ya Maji wiki ya pili, hayo mabomba mabovu hayatengenezeki?
Eneo la Muheza lilianza kukosa maji week iliyopita baada ya mtambo kuzimwa kwa maboresho mbalimbali na Maji yalivyorudi tulipata kadhia ya bomba la ukubwa wa inchi 6 kupasuka. Kazi ya kurekebisha bomba ilikamilika Oktoba 14, 2024.
Kawaida Huduma ikirejea inachukua Saa 12 mpaka 24 kuanza kuenea maeneo ya Muheza na ni eneo ambalo Lina upokeaji mdogo wa maji kutokana na mtandao kuzidiwa na idadi ya wakazi wengi kuliko designed ya mtandao.
Tunatarajia maeneo mengi yataanza kupata maji leo usiku wa leo Oktoba 15,2024
Kwa mipango ya baadaye eneo hili lote la Muheza litakuja kunufaika na Mradi wa Maji PANGANI kwa ajili ya utatuzi wa kudumu.
Everlasting Lyaro
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
DAWASA