Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
Habari wana jamvi.
Mimi wala nisiseme sana. Angalieni hii bajaji ni ya Dawasa hadi turubai limechanika linapeperushwa na upepo, hii chuma haikai hata silencer yani ameipack sehemu ikabidi mmoja wa abilia awe anavuta vuta mafuta isizimike.
Hivi hawa wafanyakazi DAWASA mnawachukulia ni mitambo ya kusimamia bili za maji tu hamjali vyombo wanavyotumia. Maji mmeshindwa kuwaungia wananchi mnakusanya billi za maji tu sehemu zingine hata maji hayatoki ila bili inatoka. S
asa hata turubai tu linawashinda.
Hii ni aibu.
DAWASA FANYENI JAMBO HII BAJAJI NI MBOVU MNO