Wiki mbili zilizopita kulitokea changamoto ya bomba la maji kupasuka maeneo ya Maili Moja – Kibaha, hali hiyo ikasababisha maeneo mengi kukosa maji, tuliporipoti DAWASA – Kibaha kila siku wakawa wanatuambia wanarekebisha lakini bado huduma hazijarejea.
Hali hiyo inatupa changamoto kubwa Wakazi wa Maili Moja hasa maeneo ya Muheza na jirani, kuna watu wanauza maji kwenye magari kiasi kwamba tunajiuliza au kuna mchezo kati ya mamlaka na wanaofanya biashara hiyo?
Huwa najiuliza, hivi na sisi Tanzania tutafika wakati tutengeneze drones na Makombora ya masafa marefu?
ikiwa kama basic issues tuna struggle kwa miaka zaid ya sitini yaani (60)?
Huwa najiuliza, hivi na sisi Tanzania tutafika wakati tutengeneze drones na Makombora ya masafa marefu?
ikiwa kama basic issues tuna struggle kwa miaka zaid ya sitini yaani (60)?