Wakuu ni mwezi sasa unaisha sijapata control number ya kufanya malipo kuunganishiwa maji, wadai mtandao TTCL upo down jambo hili linashangaza sana kwa kampuni kubwa kama DAWASA
Kama wahusika mpo fuatalieni, msilazimishe kampuni kukaa kwenye mtandao mmoja ambao tija yake ipo chini kisa tu ni wa serekali.
Kama wahusika mpo fuatalieni, msilazimishe kampuni kukaa kwenye mtandao mmoja ambao tija yake ipo chini kisa tu ni wa serekali.