Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Maji yalisombwa na mafuriko yaliyosababishwa na Hidaya.Maji vipi maeneo yenu wanajamii leo?
Dah! toka asubuhi hatuna maji mpaka napoandika muda huu still nothing katika taps maeneo yetu ya Boko Basihaya, what’s going on DAWASA?