DAWASA kuna nini? Maji yamekuwa ya shida sana

DAWASA kuna nini? Maji yamekuwa ya shida sana

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Yapata siku ya nne leo katika baadhi ya maeneo ya Tegeta mpaka Bunju maji hakuna.

Watu wanahangaika kusaka maji. Halafu utasikia waziri anapewa sifa kweli lakini kila siku maji sehemu mbalimbali utasikia shida.

Au ndio kuna mgao wa maji
 
Back
Top Bottom