St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Hii ni hatari kwa usalama endapo Bomba hili litapasuka Na ni uhujumu uchumi kama Kuna wizi wa maji. Kuna mtu hapa Kibamba Hospitali, ni mfugaji wa Samaki amefungia Bomba lenu kubwa ndani ya ukuta wake. Na huko ndani kwake Kuna mabwawa ya kufugia Samaki. Makao Makuu ya wilaya ya Ubungo hayapo mbali na hapo kwake. Ofisi za DAWASCO hazipo mbali na hapo kwake. Wasoma mita wanapita hapo Kila siku. Lakini ameachiwa tu.
Naomba Mkurugenzi wa Oparesheni Taifa wa Dawasco ufike hapo ukague uhalali wa mtu huyu kujengea miundo mbinu yenu ndani ya ukuta wake. Inaonekana Hawa wa wilayani amewaweka mfukoni kwake.
Naomba Mkurugenzi wa Oparesheni Taifa wa Dawasco ufike hapo ukague uhalali wa mtu huyu kujengea miundo mbinu yenu ndani ya ukuta wake. Inaonekana Hawa wa wilayani amewaweka mfukoni kwake.