H Heri JF-Expert Member Joined Aug 28, 2007 Posts 605 Reaction score 512 Feb 27, 2024 #1 Kwa muda sasa pamekuwepo na shida ya maji. DAWASA hamjatoa taarifa yoyote. Inaelekea huu mradi imewashinda kuendesha. Ingependeza sana kama mnaweza kutoa taarifa nini tatizo. Mna mkataba na wenye magari ya maji?
Kwa muda sasa pamekuwepo na shida ya maji. DAWASA hamjatoa taarifa yoyote. Inaelekea huu mradi imewashinda kuendesha. Ingependeza sana kama mnaweza kutoa taarifa nini tatizo. Mna mkataba na wenye magari ya maji?