KERO DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa

KERO DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa sisi wakazi wa maeneo haya?

Maji ya bomba ni machafu yanayotoka katika maeneo yetu yanazidi kuhatarisha afya zetu kama watumiaji. Hali hii inahitaji ufumbuzi wa haraka ili kuepusha magonjwa na matatizo mengine ya kiafya.

Soma Pia: Maji ya bomba yanazidi kuwa machafu kadri siku zinavyokwenda, DAWASA maji haya yana usalama kweli?

Tunahitaji kujua hatua gani zinachukuliwa na DAWASA ili kuhakikisha tunapata maji safi na salama.

Wizara ya Maji

 
We subiri yatajichuja yenyewe baada ya muda
😀😀
 
Back
Top Bottom