Nchi haina maji kutwaaaaa wanapiga mapicha na kuposti mitandaoni, kweli bongo bahati mbaya sana imegine maji hwana na chakuwafanya vilevile hawana , wanapigwa nje ndani kama malaya wapo tu wanasifiasifia ujinga, kitu hata halijaoga kisa halina maji lakini liko kwenye vijiwe huko linasifia takataka sijui mama gani hata mamaake mzazi halijawahi kusifia Shinzyyyyy kabisa. kwahiyo hayo mapicha wanayopiga kila siku na kuhonga waandishi wa habari njaa ndio suluhisho la maji kwenye huo mji?