DAWASA Mkumbuke JP Magufuli, msitutese wanachi

DAWASA Mkumbuke JP Magufuli, msitutese wanachi

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
202
Reaction score
651
Screenshot_20211024_054638.jpg

Magufuli ameongoza kwa miaka 5, kina cha maji kiliogopa kushuka, five years Kiwango cha maji hakipungui, na maji mtaani mabomba yanavuja hovyo lakin watu wa napata maji
Tozo amekuja Samia maji yanapungua,Tozo zinapanda, wamachinga wanalionja joto

CCM na DAWASA hacha sarakasi za kuandaa watu kusaikologia ili muanze mambo yenu ya DOWANS

PENDEKEZO KWA DAWASA

Hacha uzembe wa kukaa ofisini nendeni mtaani mkazibe mabomba yote yanayomwaga maji
1. kwenye mitaro
2. Karibu na Nyumba za watu
3. Kwenye watu wanaomwagilia mboga mboga(Hawa wafungia mita)
 
33 Katika mwaka wa tatu wa Asa mfalme wa Yuda, Baasha mwana wa Ahiya alianza kutawala juu ya Israeli wote huko Tirza, akatawala miaka ishirini na minne.
34 Akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana akaiendea njia ya Yeroboamu, na kosa lake ambalo kwa hilo aliwakosesha Israeli.
 
Kwahiyo Mwana wa SSH anakosesha wana wa Tanazania
 
Back
Top Bottom