Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,624
- 4,345
Goba ipi hiyo haina maji?Yani ni namna gani unaona kabisa Serikali bado haijawa serious, imagine maeneo ya Goba maji ya Dawasa hayatoki yapata week sasa na hatujui chochote kinachoendelea. Kufanya kazi serikalini nimeamini ni raha sana, yani huduma hutoi na mshahara unaingia!
DAWASAYani ni namna gani unaona kabisa Serikali bado haijawa serious, imagine maeneo ya Goba maji ya Dawasa hayatoki yapata week sasa na hatujui chochote kinachoendelea. Kufanya kazi serikalini nimeamini ni raha sana, yani huduma hutoi na mshahara unaingia!
Goba Kulangwa pia haina majiGoba ipi hiyo haina maji?
Poleni sana hukoGoba Kulangwa pia haina maji
Mti pesaGoba ipi hiyo haina maji?
Ni huzuni sana mkuuGoba Kulangwa pia haina maji
Poleni sana jamani,, vipi kwasasa?Mti pesa
mama anaupiga mwingi, midala tena kwakeYani ni namna gani unaona kabisa Serikali bado haijawa serious, imagine maeneo ya Goba maji ya Dawasa hayatoki yapata week sasa na hatujui chochote kinachoendelea.
Kufanya kazi serikalini nimeamini ni raha sana, yani huduma hutoi na mshahara unaingia!
Sehemu nyingine yapo kila sikuGoba si ushuwani
Ova
Duu makubwa 😳😳😳poleni jamaniNyie week mnalalamika, huku ni mara 2 kwa mwezi yanatoka tangu mwaka jana