DAWASA njooni Kimara Korogwe mnusuru maji, siku ya 5 leo yanamwagika

DAWASA njooni Kimara Korogwe mnusuru maji, siku ya 5 leo yanamwagika

Joined
May 4, 2024
Posts
19
Reaction score
23
Kuna bomba lipo Kimara Korogwe, uelekeo wa Mji mpya karibu na daraja (Njia ya kuelekea Kam College) limepasuka siku ya 5 sasa.

Jitihada za wananchi kuliziba zimegonga mwamba kutokana na wingi wa maji yanayomwagika hivyo kufanya maji yaendelee kumwagika.


DAWASA njooni mfanye kazi yenu. Maji yanapotea bure.
 
Back
Top Bottom