N Nimechoka Sana Member Joined May 4, 2024 Posts 19 Reaction score 23 Dec 20, 2024 #1 Kuna bomba lipo Kimara Korogwe, uelekeo wa Mji mpya karibu na daraja (Njia ya kuelekea Kam College) limepasuka siku ya 5 sasa. Jitihada za wananchi kuliziba zimegonga mwamba kutokana na wingi wa maji yanayomwagika hivyo kufanya maji yaendelee kumwagika. Your browser is not able to display this video. DAWASA njooni mfanye kazi yenu. Maji yanapotea bure.
Kuna bomba lipo Kimara Korogwe, uelekeo wa Mji mpya karibu na daraja (Njia ya kuelekea Kam College) limepasuka siku ya 5 sasa. Jitihada za wananchi kuliziba zimegonga mwamba kutokana na wingi wa maji yanayomwagika hivyo kufanya maji yaendelee kumwagika. Your browser is not able to display this video. DAWASA njooni mfanye kazi yenu. Maji yanapotea bure.
Alex Muuza Maembe JF-Expert Member Joined Dec 13, 2024 Posts 655 Reaction score 1,413 Dec 20, 2024 #2 Mjumbe, Mwenyekiti wa mtaa, mtendaji, wapo wapi ndani ya hizo siku 5 zote??
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 20, 2024 #3 NRW Non Revenue Water