Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Tabata boss wiki ya pili hii hola,wananipa majibu hayaeleweki,.Pole maza.
Location wapi maana kunawezekana umwripot HQ ila ukireport ofisi ndogo mnina fasta tu.
Kuna dogo namjua pale nakuinbox her number. Anaweza kukupa uelekeo.Tabata boss wiki ya pili hii hola,wananipa majibu hayaeleweki,.
Umeliona hilo Figa hapo kwenye avatar naona unajiweka hahahahKuna dogo namjua pale nakuinbox her number. Anaweza kukupa uelekeo.
Ahsante chief,nimewapigia tena wamepatikana wanatuma fundi,. ngoja tuone kama ni kweli au siasa..Kuna dogo namjua pale nakuinbox her number. Anaweza kukupa uelekeo.
Nimeku inbox kuna jambo naomba msaada wako broPole maza.
Location wapi maana kunawezekana umwripot HQ ila ukireport ofisi ndogo mnina fasta tu.
Nyinyi watu wa maji DAWASA nimeripoti tatizo langu la kukosa maji naona mpo mpo tuu na majibu yenu yasoeleweka, wiki ya pili hii sina maji kwangu bomba lenu limepasuka sijui mmefanyaje wenyewe mimi sipati maji wengine wanapata huduma kama kawaida.
Aisee msianze ukiritimba wenu na mambo ya kizamani ya kutaka hongo wakati mnatakiwa kutimiza wajibu wenu kama mimi ninavyotimiza wajibu wangu wa kulipa bills, huduma kwa wateja yenu mbovu wadada wanajibu hovyo sijui hamjawalipa na hii 0736 451 867 linamba lenu halipatikani tangu juzi... watu mnalala tuu[emoji57][emoji57].
Kuweni serious na kazi kama hamna watenda kazi ajirini vijana wapo wengi tuu kitaa.