nashicha
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 279
- 524
Naomba nitangulize pongezi kwa Waziri wa maji Jumaa Aweso kwa kuwa site kila mahali stahiki japo anazidiwa na UCHAWA ZAIDI NA KUJIKOMBA MNO KWA MH RAIS KAMA VILI HAJIAMINI KWA NAFASI YAKE.
Pili naomba Engineer wa Dawasa Temeke au Meneja rekebisheni hao watoa huduma kwa wateja Hawana ethics za kazi zao LUGHA mbovu mameneja wao maengineer wao watu account wao hawapo tayari kuwahudumia watu kwa UPENDO FANYIA KAZI HIYO idara ya HUDUMA KWA WATEJA.