Tatizo nini? Mimi mbona bill ikipitiliza wananipigia simu nawaomba wanipe muda wananielewa na nawalipa bill yao?Naomba nitangulize pongezi kwa Waziri wa maji Jumaa Aweso kwa kuwa site kila mahali stahiki japo anazidiwa na UCHAWA ZAIDI NA KUJIKOMBA MNO KWA MH RAIS KAMA VILI HAJIAMINI KWA NAFASI YAKE.
Pili naomba Engineer wa Dawasa Temeke au Meneja rekebisheni hao watoa huduma kwa wateja Hawana ethics za kazi zao LUGHA mbovu mameneja wao maengineer wao watu account wao hawapo tayari kuwahudumia watu kwa UPENDO FANYIA KAZI HIYO idara ya HUDUMA KWA WATEJA.
Mbona ni kote hata hii dawasco Tabata kituo Cha huduma kwa wateja ni bomu,nimepiga Simu zaidi ya Mara 20 tangu mwezi 5/2022 mita haisomi,wanawapa matapeli namba yangu ya simu then wanapiga Simu tutakuja kukubadilishia,ukiendelea kuwakumbushia kwenye namba iliyokupigia mwisho hawapokei,maana yake nini wanataka uwaahidi kuwapa rushwa ndiyo wake kukuhudumia.Naomba nitangulize pongezi kwa Waziri wa maji Jumaa Aweso kwa kuwa site kila mahali stahiki japo anazidiwa na UCHAWA ZAIDI NA KUJIKOMBA MNO KWA MH RAIS KAMA VILI HAJIAMINI KWA NAFASI YAKE.
Pili naomba Engineer wa Dawasa Temeke au Meneja rekebisheni hao watoa huduma kwa wateja Hawana ethics za kazi zao LUGHA mbovu mameneja wao maengineer wao watu account wao hawapo tayari kuwahudumia watu kwa UPENDO FANYIA KAZI HIYO idara ya HUDUMA KWA WATEJA.
Hakuna Dawasco, kuna DawasaMbona ni kote hata hii dawasco Tabata kituo Cha huduma kwa wateja ni bomu,nimepiga Simu zaidi ya Mara 20 tangu mwezi 5/2022 mita haisomi,wanawapa matapeli namba yangu ya simu then wanapiga Simu tutakuja kukubadilishia,ukiendelea kuwakumbushia kwenye namba iliyokupigia mwisho hawapokei,maana yake nini wanataka uwaahidi kuwapa rushwa ndiyo wake kukuhudumia.
Kwenye kitengo cha huduma kwa wateja bomu Nina mita haifanyi Kazi tangu 05/2022 nimewapigia mpaka nimechoka wanakula mtu anakupigia unaendelea kuwasiliana naye mwisho hapokei Simu Tena inaonekana ni dili anahitaji umwahidi rushwaTatizo nini? Mimi mbona bill ikipitiliza wananipigia simu nawaomba wanipe muda wananielewa na nawalipa bill yao?
Wewe wamekuudhi nini?
Naomba nitangulize pongezi kwa Waziri wa maji Jumaa Aweso kwa kuwa site kila mahali stahiki japo anazidiwa na UCHAWA ZAIDI NA KUJIKOMBA MNO KWA MH RAIS KAMA VILI HAJIAMINI KWA NAFASI YAKE.
Pili naomba Engineer wa Dawasa Temeke au Meneja rekebisheni hao watoa huduma kwa wateja Hawana ethics za kazi zao LUGHA mbovu mameneja wao maengineer wao watu account wao hawapo tayari kuwahudumia watu kwa UPENDO FANYIA KAZI HIYO idara ya HUDUMA KWA WATEJA.
Mbona ni kote hata hii dawasco Tabata kituo Cha huduma kwa wateja ni bomu,nimepiga Simu zaidi ya Mara 20 tangu mwezi 5/2022 mita haisomi,wanawapa matapeli namba yangu ya simu then wanapiga Simu tutakuja kukubadilishia,ukiendelea kuwakumbushia kwenye namba iliyokupigia mwisho hawapokei,maana yake nini wanataka uwaahidi kuwapa rushwa ndiyo wake kukuhudumia.
yani ww yamekukuta kama yangu, tangu mwezi wa7 mwaka jana haisomi, nmewafata fata weeh hawana majibuKwenye kitengo cha huduma kwa wateja bomu Nina mita haifanyi Kazi tangu 05/2022 nimewapigia mpaka nimechoka wanakula mtu anakupigia unaendelea kuwasiliana naye mwisho hapokei Simu Tena inaonekana ni dili anahitaji umwahidi rushwa