Serikali mna maneno mengi sana utendaji ni zero kwenye sekta zenu zote.
Lini mtaona aibu.
Mwezi ulio pita tu hapa wananchi maeneo mbali mbali walilalamikia kuhusu ukosefu wa maji mkasingizia mvua,
Na sasa hata wiki haijaisha mvua tangu zikate maji ya dawasa hakuna mna chakusema?