Dawasco & Dawasa

Dawasco & Dawasa

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
4,974
Reaction score
785
Dawasco ni shirika linalosambaza maji katika mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Dawasco hawana miundo mbinu ya kusambaza maji, wao mekodisha mitambo na miundo mbinu ya kusambaza maji toka kwa Dawasa na wanapelekewa ankra ya madai kila mwezi na Dawasa.

Ni kwanini serikali iliamua mambo yaende hivyo, je ni kwa sababu wananchi hawajui kulalamika na hawajui haki yao?

Ankra ya Dawasa kwa nini isitumike kuendeleza vyanzo vya upatikanaji wa maji?

topp.jpeg
 
Back
Top Bottom