Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 699
Wafanyakazi wa Kituo cha Dawasco Kawe (hasa enginner - Eliud)
acheni kufanya ofisi ya umma kama za baba zenu, hiyo ni ofisi ya umma,
sikilizeni wateja na mtoe majibu ya kuridhisha. Cheo dhamana!!